Jumanne, 8 Machi 2016

#History 8 Machi 1913 - Siku ya Wanawake Duniani Yaanzishwa

Siku ya Wanawake Duniani imekuwa ikiadhimishwa kila mwaka tangu ilipoanza kwa mara ya kwanza mwaka 1913. Siku hii huadhimishwa katika nchi nyingi duniani kuakisi maendeleo ya wanawake katika historia.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni