Jumatano, 9 Machi 2016

#History Waziri Mkuu wa Italia ajiuzulu

9 Machi 1896 – Waziri Mkuu wa Italia Francesco Crispi ajiuzulu baada ya Italia kushindwa vibaya katika "Mapigano ya Adwa" nchini Ethiopia.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni