Jumatano, 9 Machi 2016

Mjerumani aliyetawala Tanganyika afariki

9 Machi 1964 - Paul Emil von Lettow-Vorbeck anafariki. Huyu alikuwa Jenerali wa Jeshi la Ujerumani na kamanda wa vikosi Afrika Mashariki. Mnamo tarehe 13 Aprili 1914 aliteuliwa kuongoza vikosi vya Ujerumani katika himaya ya Tanganyika.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni