Jumatano, 9 Machi 2016

Jina "America" limetokana huyu mtu

9 Machi 1454 - Amerigo Vespucci,mpelelezi na baharia wa Italia anazaliwa.Aligundua sehemu ambayo alita 'New World'lakini baadaye ilipewa jina la 'America'kwa kuchukua neno la kilatini 'Americus'lenye maana sawa na jina lake 'Amerigo.'Huyu ndiye aliyegundua kuwa Brazil na West Indes siyo sehemu ya Asia kama mtangulizi wake Christopher Columbus, baharia na mpelelezi wa Ureno alivyodai hapo awali. Jina la kila nchi duniani lina asili yake. Jina 'Tanzania' limetokana na kuchukua baadhi ya herufi katika jina 'Tanganyika' na 'Zanzibar.'

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni